Mchezaji wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe amefariki dunia leo asubuhi, mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Mirembe, Dodoma.
aidha masawe amekuwa akiugua kwa muda mrefu kidogo,na alikuwa kwa mama yake mkoani dodoma.
Mungu ailaze roho yake mahali pema.poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba wa mwanamichezo nguli kabisa hapa nchini