Waombolezaji wanazid kuongezeka nyumbani kwa wazaz wa marehemu Mez b.
  Nyumbani kwao ni Kisasa,mkoani dodoma.ni karibu na barabara kuu iendayo Dar es salaam.ktituo kinaitwa sheli kisasa kisha unaingia ndani kidogo.kwa mujibu wa mtu wa karibu na familia marehemu atazikwa jumatatu.ni simanzi,vilio sana kwa ndugu jamaa na marafiki.bwana ametoa bwana ametwaa,apumzike kwa aman

baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa wazazi wa marehem  Mez B


Advertisement

0 comments:

 
Top