ni waz kuwa mapango wa matokeao makubwa sasa unashabaha ya dhati ya kulikomboa taifa,
ila utekelezaji au watendaji wa mradi huu hawajatili a juhud za dhati,sio kwamba ni wote la hasha,yapo maeneo ambayo mabadiliko yapo na yanaonekana kulea matumaini chanya.
ila mambo mawili bado hayaingii akilini
MOSI:serikali kushindwa kutoa chakula cha mchana kwa baadhi ya shule hadi kutegemea wafadhili ,watati tungali na akiba ya kutosha ya vyakula hadi kukosa pa kuhifadhi,hivi baba anaeshindwa kulea wanae haswa kwa kuwapa mlo hadi kutegemea jirani ni baba gani mwenye upendo na ustahamilivu wa muda wote kukusitiri?
kweli kwa hili siwez kuwapongeza bali nawalaumu
PILI:niliumia sana kuwauliza wahitimu wa darasa la saba tena waliofaulu kuwa mwaka mpya ulikuwa tarehe ngapi wakashindwa kunipa jibu

Advertisement

0 comments:

 
Top