mamia ya wakazi wa mkoa wa mwanza na maeneo ya jirani wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa mwanza jana walijitokeza kwa wingi katika shuguli ya kuuaga mwili wa aliekuwa kocha msaidiz waTaifa Stars na mkurugenzi wa kituo cha Marsh Athletics, Sylvester Marsh aliyezikwa jana katika makaburi ya Igoma mkoani mwanza
 |
| picha hapo juu ni watoto waliokuwa katika marsh accademy wakilia kwa uchungu |
Shughuli za kuaga mwili wa kocha huyo zilianza saa 4 asubuhi kwenye
Uwanja wa Shule ya Msingi Mirongo kadri muda ulivyokuwa unakwenda ndipo
waombolezaji walizidi kumiminika katika eneo hilo
0 comments:
Post a Comment