waasi wa sudani kusini wameewaachia watoto 250,waliokuwa wakitumika katika jeshi la waasi.
Katika kundi hilo alikuwepo askari wa kike mdogo kabisa mwenye umri wa miaka 9.
Aidha waasi hao wamehidi kuwaachia watoto wengine 400 ndani ya siku mbili zijazo.Kundi hilo la waasi linawashikilia watoto wapatao 3000 katika kambi zake na kuwatumia kama askari wapiganaji kwa mujibu wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia watoto(UNICEF).
kwa mujibu wa duru zinasema watu wapatao elfu kumi wamepoteza maisha tangu kuanza kwa uasi huo,huku milioni mbili wakikimbia makazi yao,na wengine milioni nne wakikumbwa na baa la njaa.

0 comments:
Post a Comment