imetokea ajali mbaya sana leo maeneo ya Ruaha mbuyuni,kati fuso la basi la abiria,la kampuni ya Ngaga,aidha duru zinasema watu kadhaa wamefariki dunia,japo idadi rasmi bado haijajulikana.Aidha baada ya kugongana usokwa uso basi hilo lilihama njia na kuwaka moto. basi hilo ambalo hufanya safari zake kati ya Iringa na kilombero mkoani morogoro
![]() |
| basi hilo likiwaka moto baada ya ajali |



0 comments:
Post a Comment