AJALI NYINGINE YATOKEA JIONI HII
Ajali nyingine imetokea leo jioni muda sio mrefu maeneo ya Ngilori na tabu hoteli,iliyohusisha fuso iliyokuwa imebeba watu toka msibani na lory aina ya scania trailer,bado hatujapata idadi rasmi ya majeruhi wa ajali hii.hivyo tutawajuza pindi tukipata.
![]() |
| pichani baadhi ya mashhuda wa ajali hiyo |


