nianze kwa kutoa pole kwa mkulima aliechomwa mshale na watu wanaodhaniwa ni wafugaji . Mosi kitendo hicho ni cha kikatili na hakipaswi kufumbiwa macho . mara nyingi jamii ya wafugaji wamekuwa wakiingiza mifugo kwenye mashamba nyakat za usiku na kuharibu mazao.
Kitendo hiki hakipaswi kufumbiwa macho maana licha ya kuhatarisha usalama na amani pia kinasababisha njaa na mdororo wa uchumi kwa wakulima, nitoe rai kwa vyombo vya dola kuwachukulia hatua kali za kisheria kwa wote watakaobainika kushirik katika tukio hilo

Advertisement

0 comments:

 
Top