
Marehemu Collins Chabane ambae licha ya kuratibu shughuli nzima ya maziko ya mzee madiba pia hadi umauti unamkuta alikuwa ni waziri wa nchi toka katika chama tawala cha ANC
.Chabane 54 alikuwa pia ni mjumbe wa halmashauri ya kamati kuu ya ANC,katika salamu zake za rambi rambi Rais Zuma amesema kifo cha chabane sio pengo tu kwa chama,familia na serikali,bali ni pigo kubwa kwake na hakuna njia sahihi ya kueleza umuhimu wa marehemu bali ni kumuombea kher katika maisha yake mapya.
1 comments:
very sympathetic
Post a Comment