bomu la kutegwa limeua watu 10 hapo hapo,katika kanisa katoliki nchini pakistani,huku wengine 50 wakiwa katika hali mbaya kutokana na majeruhi hayo.
aidha tukio hilo limetokea katika mji wa Youhanabad,ambapo wakazi wake wengi ni wakristo.
pichani ni baadhi ya watawa na waumini walionusurika katika tukio hilo.aidha kwa mujibu wa duru toka nchini humo,kumekuwepo na matukio ya mashambulizi ya makanisa yanayofanywa na vikundi vya wanamgambo wenye msimamo mkali
baada ya tukio hilo waumini waliungana na kuonyesha umoja wa ndugu na jamaa waliopoteza maisha,kwa kusambaza ujumbe wa mshikamano

Advertisement

0 comments:

 
Top