
John Terry na Diego Costa - wote kwa msaada wa deflections waliipatia chelsea magoli mawili,na kuzima matumaini ya Spurs 'ya kurudia mafanikio yao juu yao dhidi Chelsea katika shindano hili,kama ilivyokuwa kwenye ligi kwa kuifunga chelsea 5-3,aidha ilikuwa ni mechi ya kulipiza kisasi.rekodi ya mourinho chelsea ni kama ifuatavyo
Ligi Kuu:
2004-05, 2005-06
Kombe la FA:2006-07

Kombe la Ligi:
2004-05, 2006-07, 2014-15
Community Shield:
2005
Mastery Mourinho alikuwa na kazi kubwa ya uteuzi wa Kurt Zouma, beki wa kati kucheza katika kiungo kutimiza wajibu kushoto nyuma na kusimama kama Nemanja Matic,ambae aliukosa mchezo huo kutokona na kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi dhidi ya burnley
0 comments:
Post a Comment