mwanamziki nguli alietamba na vibao mbalimbali vya pop na blues kama vile laisla bonita,holiday,don't cry for me argentina ,Madona amekiri kuwa aliwahi kuwa na mahusiano
ya kimapenzi na mkali huyo wa rap,tupac shakur
aidha Madona ametamka wazi kuwa kitendo hicho kilimfanya awe kama gangstar alipokuwa akitumbuiza jukwaani.Lady madona alificha siri hiyo hadi umauti ulipomkuta tupac.aidha madona alikuwa kwenye mahusiano hayo huku akiwa ni mke wa mtu.Mwanamama huyo anasifa kubwa ya kuolewa na wanaume wengi na kuwa na uhusiano zaidi ya mwanaume mmoja.

0 comments:
Post a Comment