hatimaye rais mpya wa Zambia Edger lungu ameruhusiwa toka hospitali alipokuwa amelazwa.
lungu mwenye umri wa miaka 58 alipelekwa nchini afrika kusini kwa ajili ya upasuali wa mfumo wa njia ya chakula unaunganisha tumbo na koo kuwa mdogo.
kwa sasa ameruhusiwa na kurudi nyumbani
0 comments:
Post a Comment