Rashid Makwaro,almaarufu chid benz amekir kuwa nikweli alikutwa na dawa za kulevya,
  aidha chid benz alikir mashtaka matatu yanayomkabili.Rashid mwenye umri wa miaka 29 alikutwa naHeroin yenye thaman ya shiling 38,638,bangi yenye thaman ya 1720
   
na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
   Chid Benz, alikiri mashitaka hayo baada ya kusomewa upya hati yake ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,  Warialwande Lema.

     Hakimu Lema alisema kwa kuwa mshtakiwa amekiri mashitaka yake mahakama yake itasikiliza maelezo ya awali Februari 23, mwaka huu.
         Kabla ya kutolewa amri hiyo, Wakili wa Serikali, Diana Lukondo, aliomba kumsomea mshtakiwa mashitaka yake upya.
         Hakimu aliridhia ombi hilo.Lukondo alidai kuwa Oktoba 24, mwaka jana katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, uliopo Ilala jijini Dar es salaam.

jina la kisanii Chid Benz
pichani chid benz akiwa mahakamani


Advertisement

0 comments:

 
Top