club a yanga leo inatupa karata yake kuivaa mbeya city katika uwanja wa kumbu kumbu ya sokoine mkoani mbeya
aidha mchezo huo ni wa kiporo,yanga ambayo imepania kurudi kileleni,mwa ligi kuu ya tanzania bara wamelingana point na timu ya azam,ila azam wanaidad kubwa ya magoli ya kufunga kuizid yanga.
0 comments:
Post a Comment