ajali ya gari moshi na lorry la azania company ajali hii imetokea leo,makutano ya barabara ya kawawa na nyerere,reli ya kwanza kutokea machinga complex.aidha lori hilo lillilokuwa limebeba ngano liligongwa na kichwa cha injini ya gari moshi na kusukumwa upande wa pili wa barababara.
0 comments:
Post a Comment