aliekuwa mgombea wa urais na gorvenor wa jimbo la Massachusetts Mitt Romney atapigana na bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani Holyfield Evanda ,aidha Romney mwenye umri wa miaka 68 atapigana na evenda mwenye umri wa miaka 52.Romney ambae alikuwa mgobea urais mwaka 2012 kisha kushindwa na Rais Obama.
Aidha onesho hilo la pambano linatarajiwa kufanyika ili kukusanya pesa kwa ajili ya kutumika kupata vifaa,na madaktari watakaoenda nchi maskini ili kufanya matibabu na upasuaji wa wagonjwa wenye matatizo ya macho
kushoto ni picha ya Evander Holyfield,kulia kwake ni Mitt Romney

0 comments:
Post a Comment