wanasayansi katika chuo kikuu cha west england,nchini uingereza wamegundua njia ya kutengeneza umeme kwa kutumia nishati iliyo katika mkojo wa mwanadamu.
Aidha uvunduzi huo uliodhamiria kupunguza tatizo la ubakaji na udhalilishaji wa kijisinsia katika kambi za wakimbizi sehemu mbalimbali duniani,utaleta mwitikio chanya kwa mashirika ya kimataifa na taasisi mbalimbali za kutetea haki za binadamu
picha hapo juu inaonesha choo hicho cha kutumia nishati iliyo katika mkojo.

0 comments:
Post a Comment