Wakati leo pazia la mashindano ya kombe la kagame yakiwa yanaanza leo hii,timu zetu zinazoshiriki mashindano haya zinatakiwa kuonesha nia ya dhati ya kutaka kulibakiza kombe hilo nyumbani,
licha ya kulibakiza kombe hilo nyumbani,timu hizo pia zinatakiwa kuonesha kandanda safi ambalo litawawezesha kufanya vizur katika mashindano ya kimataifa.
licha ya kulibakiza kombe hilo nyumbani,timu hizo pia zinatakiwa kuonesha kandanda safi ambalo litawawezesha kufanya vizur katika mashindano ya kimataifa.
0 comments:
Post a Comment