BRIGHT AFRICAN NURSERY AND PRIMARY SCHOOL,
Location:Kivule Magole Dar es salaam,
ni shule ya kutwa yenye kupokea watoto wa kuanzia miaka 3 na kuendelea.
kwa mawasiliano zaid piga namba hii:0718-037133.
karibu bright african,kwetu sisi mwanao atapata zaid ya elimu,malezi bora,nidhamu na upendo,mtoto ataweza kujitambua mapema na kuijua karama yake.Mzazi, mlezi mlete mwanao bright african nursery and primary school kwa mafanikio,maendeleo ya kitaaluma na kimaadili.
Mission:One school,one family
Vission:Education is power talents for life
0 comments:
Post a Comment