Askofu TUTU wa nchini Africa ya kusini ameruhusiwa toka hospitalini alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu ya cancer.Aidha tutu mwenye umri wa miaka 83 na mshindi wa tuzo ya aman ya nobel,amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa katika via uzazi vya tez dume kwa takribani miez 3 katika hospital ya cape town
Home
»
»Unlabelled
» ASKOFU TUTU ARUHUSIWA TOKA HOSPITALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment