Mshambulizi matata wa klabu ya Swansea City Andre Ayew, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita, katika ligi kuu ya Uingereza ya Premier.
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ghana mwenye umri wa miaka 25, amefunga magoli matatu, msimu huku, huku Swansea ikiwa haijapoteza mechi yoyote msimu huu.

0 comments:
Post a Comment