Zabibu ni tunda maarufu sana Kwa wakazi wa mkoani Dodoma, kwani hulimwa Kwa wingi Sana mkoani Dodoma. Zabibu zipo zenye rangi nyeusi, kijani, na Nyekundu. Zote Kwa ujumla wake zinafaida kubwa Sana Kama ifuatavyo.
Zabibu husaidia kuzuia vimelelea vya saratani. Saratani hizo ni pamoja na saratani ya kongosho, koromeo, midomo, mapafu, korodani.
Hivyo ni vyema kuwa na desturi ya kutumia matunda Haya Mara Kwa mara

Advertisement

0 comments:

 
Top