Wakati huu ambapo ligi kuu ya tanzania bara imesimama, kuna mambo ya msingi sana timu zetu zifanye ili kuboresha hali ya mpira wa Tanzania, ngazi ya vilabu na taifa. Kwenye ngazi ya vilabu licha ya kupata muda wa mapumziko pia ndio muda mzuri wa kuangalia mapungufu ya kiufundi, kinidhamu na kuyarekebisha ili duru ya pili iwe na ushindani zaidi, kwa zile timu ambazo zitawakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa ndio muda mzuri wa kuboresha vikosi vyao ili vifanye vizuri zaid ya awam iliyopita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment